0
8

Kundi la wapiganaji  la Boko Haram wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza  karibu na mpaka wa nchi ya Cameroon ambacho hufundisha maofisa wa Polisi nchini Nigeria.

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch wametoa takwimu ya vifo vilivyosababishwa na kundi hilo kua watu zaidi ya elfu kumi mpaka sasa tangu walipoanzisha harakati za kutaka upande wa kaskazini mwa Nigeria uwe chini ya utawala wa Kiislam.

Post a Comment Blogger

 
Top