0


Ni stori nyingine kubwa ya siku kutoka kwenye jiji la Johannesburg Afrika Kusini ikisema  kwamba Panya wamemng’ata vidole na pua mtoto wa mwezi mmoja kwenye kitongoji cha Alexandra wanachoishi watu wa hali ya chini.
Screen Shot 2014-08-28 at 6.40.05 AM
BBCswahili wameripoti kwamba mtoto huyu kwa sasa anasubiria kufanyiwa upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hili.
Panya walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao huku mama yake akiwa anafua nguo nje ndipo alipokimbilia ndani kumtazama baada ya kusikia analia, akamkuta anatokwa damu.

Post a Comment Blogger

 
Top