![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/09/klm.jpg?zoom=1.5&resize=601%2C364)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/09/klm.jpg?zoom=1.5&resize=601%2C364)
Ingekuwa mlango huo ni mwepesi kuufungua kama mlango wa gari basi mambo yangekuwa tofauti, jamaa huyo James Gray, baada ya ndege kutua Uwanja waSchiphol Airport alikamatwa na Askari na kuwekwa ndani kwa saa kadhaa alafu akaachiwa baada ya kupigwa faini ya Pound 440 ambazo ni kama Tshs. Milioni 1.4.
![james-gray](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/09/james-gray.jpg?zoom=1.5&resize=528%2C276)
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/09/james-gray.jpg?zoom=1.5&resize=528%2C276)
Adhabu yake haijaishia hapo, jamaa kazuiwa pia kusafiri kwa Ndege za KLM kwa kipindi cha miaka mitano… Kwa vile yeye ni raia wa Scotland, ilibidi atumie usafiri wa Ndege nyingine kurudi kwao huku akijitetea kwamba yeye hata hakujua kwamba huo mlango ni wa kutokea nje.
Post a Comment Blogger Facebook