0
hu1

Moja kati ya matatizo ya smartphones nyingi ni kuwa speed au kasi yake huwa ndogo sana. Hii hutokea mara nyingi kama umefungua applications/programs nyingi kwa mara moja. Je unawezaje kujikwamua na hali hii?

Kuna njia mbali mbali ambazo unaweza kutumia kuondokana na tatizo la simu kufanya kazi polepole. Njia kubwa na ya uhakika ni KUNUNUA SIMU YENYE UWEZO MKUBWA.

Kununua simu yenye uwezo wa kufungua application nyingi kwa wakati mmoja bila kusumbua ndio dawa sahihi ya kuondoka na tatizo hilo. Bahati mbaya sana, nyingi kati ya simu zenye uwezo huu huuzwa gharama kubwa na hivyo watu wengi wa kawaida hushindwa kuzipata.

Hata hivyo kuna aina mojawapo ya simu ambayo ina uwezo mkubwa na gharama zake ni za kawaida. Hivi karibuni, kampuni ya uuzaji wa simu za mkononi kwa kushirikiana na Tigo wamezindua Huawei y360 ambazo zinauzwa kwenye maduka ya Tigo nchi nzima kwa shilingi 160,000. Pindi mteja anunuapo simu hizo, atarudishiwa pesa yote aliyonunua kama vifurushi mbalimbali kwa muda wa miezi sita.

hu2

Huawei Y360 ni simu yenye uwezo mkubwa. Ikipewa nguvu na CPU yenye  Quad-core 1.2 GHz Cortex-A7  uwezo wake wa kufungua applications nyingi kwa mara moja bila kupata shida yoyote. Pamoja na uwez mkubwa wa kufanya kazi, Simu hizi pia zina kamera nzuri yenye 5 MP, 2592 х 1944 pixels, na dual-LED flash (flash mbili).

Post a Comment Blogger

 
Top