0
Orodha ya matumizi ya fedha ya kununua wachezaji katika vilabu barani Ulaya
Orodha ya matumizi ya fedha ya kununua wachezaji katika vilabu barani Ulaya
Vilabu vya Ligi Kuu nivyo vinavyotawala ukanda wa Ulay kwa kutumia fedha kujenga viosi vyao, katika vilabu nane vya gharama barani ulaya, “5 Bora” inatoka Uingereza.
Gareth Bale anaongoza kwa kuwa mchezaji aghali duniani
Gareth Bale anaongoza kwa kuwa mchezaji aghali duniani
Manchester City wametumia pauni milioni 408 za ada ya kusajili na kufanya kuwa kikosi aghali cha Manuel Pellegrini, wakiwa na rekodi ya kumnasa Kevin De Bruyne kwa ada ya pauni milioni 54.5.
Man City imemnunua Kevin De Bruyne kwa ada ya pauni milioni 54.5.
Man City imemnunua Kevin De Bruyne kwa ada ya pauni milioni 54.5.
Manchester United wametumia pauni milioni 389.1 katika kikosi chao huku Chelsea kikitumia pauni milioni 297.
Man U ilimnunua Juan Mata kwa ada ya pauni milioni 37.1 kutoka Chelsea
Man U ilimnunua Juan Mata kwa ada ya pauni milioni 37.1 kutoka Chelsea
Watatu wote wapo katika tano bora barani Ulaya wakiwemo wababe wa Hispania Real Madrid na matajiri wa mafuta Paris Saint Germain.
Diego Costa ndio mchezaji aghali Chelsea
Diego Costa ndio mchezaji aghali Chelsea
Bayern Munich ilitoa pauni milioni 34 kumnasa Arturo Vidal kutoka Juventus
Bayern Munich ilitoa pauni milioni 34 kumnasa Arturo Vidal kutoka Juventus

Post a Comment Blogger

Top