![Baadhi ya wakazi wa Tanga wakiwa wamejilaza chini baada ya mkutano wa Ukawa kuahirishwa kufuatia kuzimia kwa baadhi ya watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga siku ya Jumatatu](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/tanga.jpg)
Baadhi ya wakazi wa Tanga wakiwa wamejilaza chini baada ya mkutano wa Ukawa kuahirishwa kufuatia kuzimia kwa baadhi ya watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga siku ya Jumatatu
![Umati wa watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga amabp Lowassa aliahirisha kuhutubia kufuatia kuzimia kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/tanga4.jpg)
Umati wa watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga ambapo Lowassa aliahirisha kuhutubia kufuatia kuzimia kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo
![Lowassa amekuwa akivutia umati wa watu kila mahali alipokwenda wakati wa kipindi hiki cha kampeni za urais](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/tanga7.jpg)
Lowassa amekuwa akivutia umati wa watu kila mahali alipokwenda wakati wa kipindi hiki cha kampeni za urais, ama kweli ni zama za Mabadiliko
Post a Comment Blogger Facebook