![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2015/09/30/150930155111_cartoon_tanzania_624x485_bbc_nocredit.jpg)
Vibonzo vimekuwa chachu kubwa sana katika upashaji habari wakati wa msimu huu wa uchaguzi nchini Tanzania.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/520/amz/worldservice/live/assets/images/2015/09/30/150930155013_cartoon_tanzania_624x485_bbc_nocredit.jpg)
Mchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake kwasababu anaweza kufikisha ujumbe wa mambo makubwa na mengine yanayoweza kuwaudhi wahusika kwa namna ya ucheshi.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/520/amz/worldservice/live/assets/images/2015/09/30/150930154902_cartoon_tanzania_549x549_bbc_nocredit.jpg)
Mwandaaji wa maonyesho hayo Gadi Ramadhani anasema
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/520/amz/worldservice/live/assets/images/2015/09/30/150930154738_cartoon_tanzania_549x549_bbc_nocredit.jpg)
"Niliamua kuandaa maonyesho haya kutokana na kuwa na kazi kubwa na ya muhimu ya vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi''
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/520/amz/worldservice/live/assets/images/2015/09/30/150930154612_cartoon_tanzania_624x460_bbc_nocredit.jpg)
''Vibonzo vimeweza kuwasilisha jumbe kubwa na nyeti lakini kwa namna rahisi ambayo karibu mwananchi wa kada yoyote ile anaweza kuelewa
Post a Comment Blogger Facebook