Chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara,
Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali.
Post a Comment Blogger Facebook