0


Mwigizaji mahiri kutoka Hollywood, Osita Iheme maarufu zaidi kama Pawpaw ameripotiwa kuwa katika mipango ya kufunga ndoa na mpenzi wake kutokea huko nchini Ghana katika siku za usoni.

Osita amesema kuwa harusi hii itakuwa ni tukio la siri litakalohusisha watu wa karibu tu wa familia, na kutokana na maelezo yake, yawezekana akafunga ndoa na mwigizaji maarufu wa nchini Ghana bibie Nana Ama McBrown.

Kwa hatua hii Osita atakuwa anafuata nyayo za rafiki yake wa karibu Chinedu Ikedieze ambaye alitangulia kufunga ndoa na kumuacha yeye akiendelea kuwemo kwenye kundi la makapera

Post a Comment Blogger

 
Top