1. Ajali za barabarani ndizo chanzo kikuu cha 11.6% ya vifo
2. Asilimia 7.3 ya vijana hujiua
3. HIV/Ukimwi na magonjwa ya kupumua
4. Vita baina ya vijana
"Watu hudhani ni uhalifu kujiua,lakini sivyo hivyo,anasema lauren Ball mwenye umri wa miaka 20 ambaye amejaribu kujiua kwa mara kadhaa.
Mara sita ,huku jaribio lake la hivi karibuni likiwa lile la mwaka 2014.''Najua imekuwa vigumu sana kwa familia yangu'',Ball alikiambia kipindi cha vijana cha BBC Newsbeat.
''Sidhani kama ni kitu ambacho naweza kukisahau,alisema mama huyo mwenye mtoto wa miaka 14 ambaye alijiua miaka miwili iliopita katika mji mmoja uliopo pwani ya mji wa Devon nchini Uingereza.
Jamii nyingi ndio zimeanza kuzungumzia kuhusu afya ya akili.Wengine bado hawazungumzii.Wakati huohuo wataalam wa maswala ya afya wameonya kuwa kuna umuhimu wa kukabiliana na janga la kujitoa uhai miongoni mwa vijana.
Swala ambalo limeonekana kama miko kwa muda mrefu,linasema shirika la afya duniani.
hujiua kila mwaka – idadi hii ni sawa na mtu mmoja kila sekunde 40
Nambari 15 kwa kusababisha vifo katika marika yote
Nambari 2 kwa kusababisha vifo kwa vijana (umri 15-29)
"kujitoa uhai ni swala gumu na huwa hakuna sababu moja ambayo mtu huamua kufanya hivyo''.
Kile kinachojulikana ni kwamba takriban watu 800,000 hufariki kwa kujitoa uhai kila mwaka.
Kulingana na takwimu kutoka shirika la WHO,kuna takriban majaribio 20 kwa kila kisa.
Utafiti wa shirika la afya duniani kuhusu vifo mnamo mwaka 2012 unathibitisha kuwa kujitoa uhai ni janga duniani kote.
Muhimu zaidi ni kwamba tofauti ya kimaisha huwa na athari kubwa miongoni mwa vijana.
Utafiti huo unaonyesha kwamba vifo vya kujitoa uhai hupatikana kwa wingi katika vijana wa umri kati ya 10 hadi 25 katika mataifa yenye mapato ya chini.
Kulingana na jinsia:Kwa jumla wanaume wengi hufariki kwa kujitoa uhai ukilinganisha na wanaume.
Wasichana hujaribu sana kujiua ukilinganisha na wavulana,lakini wavulana wengi hufanikisha majaribio hayo ikilinganishwa na wasichana,kulingana na Fleischmann.
Katika mataifa tajiri,wanaume wanaofariki kwa kujitoa uhai ni mara tatu ukilinganisha na wanaume,lakini katika mataifa yalio na mapato ya kadri idadi hiyo ni ndogo.
VIWANGO VYA JUU ZAIDI DUNIANI
Vifo kati ya vijana 100,000
1. India
ina vifo 35.5 (taifa pekee ambako wanawake wanaojiua wanazidi wanaume)
2. Zimbabwe 30.9
3. Kazakhstan 30.8
4. Guyana 29.7
5. Suriname 28.2
Takwimu mbaya zaidi zimeonyesha kuwa katika maeneo mengine ya dunia kujitoa uhai kunaongoza miongoni mwa sababu za vifo kwa watu kati ya umri wa mika 15 na 19,hivyo ndio hali ilivyo kusini mashariki mwa Asia..
Barani Afrika takwimu hizo ni za uhakika. Idadi ya vifo vinavyotokana na mtu kujiitoa uhai ni watu 9 kwa watu 100,000 ambayo ni idadi ya kiwango cha juu ikilinganishwa na jimbo lolote lile isipokuwa Kusini mashariki mwa Asia ambapo ni watu 25 kwa kila watu 100,000.
Onyo
Wataalam wanasema kuwa kujitoa uhai hakufanyiki tu,huku utafiti ukionyesha kwamba takriban asilimia 90 ya vijana wanaojitoa uhai wana matatizo ya kiakili.
Chanzo cha tatizo hilo huaminika kuwa shinikizo la kiakili ,ikiwa ndio tatizo la kwanza ,mbali na ghasia ama utumizi wa dawa za kulevya.
La muhimu zaidi ni kwamba washauri wa maafisa wa afya wanaamini kwamba kuna umuhimu wa mipango ya kuweka kinga ambayo inafaa kufadhiliwa na serikali.Kufikia sasa ni mataifa 28 yalio na mipango hiyo ya kitaifa,kulingana na rekodi za WHO.
Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Uteuzi wa wakuu wa wilaya umepokelewa kwa hisia tofauti na wasomi na wanasiasa, ambao wamedai nafasi ...Read more »
Image copyrightReutersImage captionRwanda imo nambari 11 kwenye orodha ya utawala bora ya Mo Ibrahim
Rwanda inaongoza kwa utawala bora katika kanda ya...Read more »
Dharura inaweza kutokea popote na wakati wowote, unaweza kupata picha hofu utakayokuwa nayo ikitokea mko katikati ya safari kwenye Ndege angani alafu ...Read more »
Image captionEdward Lowassa alizaliwa August 26 mwaka 1953 kijijini Ngarashi Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha.
Edward Ngoyai Lowassa anatoka kati...Read more »
Angalia hapa video mpya ya msanii Merit kutoka Nigeria wimbo unaitwa ‘Nakupenda’ amemshirikisha Patoranking wimbo huu una maneno ya Kiswahili sikiliz...Read more »
Image captionUtafiti huu unaonyesha pilipili hupunguza hatari ya kufariki kwa asilimia 10
Kwa miaka mingi sasa, binadamu amekuwa akitumia pilipili kuo...Read more »
Image copyrightEPAImage captionBrazil imeshindwa kutamba tangu ikose kufana katika Kombe la Dunia mwaka jana
Mataifa mawili yanayojulikana sana kwa...Read more »
H
ere is this year’s edition of the half-yearly round up of our favorite congregational songs. Feel free to add your suggestions in the comments.
...Read more »
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.