Kadi nyekundu na njano kazi yake kutoa adhabu na onyo baada ya mchezaji kutenda madhambi ndani ya mchezo, sasa nchini Italy refa atakua anabeba kadi tatu hivi sasa ambazo ni nyekundu, njano na nyekundu.
Tofauti na kadi nyekundu na njano, kadi ya kijani kazi yake itakua ni kwa ajili kitu positive, kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kumpongeza mchezaji pale anapofanya kitendo cha fair play.
Kadi hiyo itaanza kwanza kutumika kwenye Serie B kabla ya kuja Serie A. Mpango huu wa kuanzisha kadi ya kijani ni njia moja wapo ya kutekeleza agizo la UEFA kwamba nchi mbalimbali zi-promote fair play.
Post a Comment Blogger Facebook