0
Artist:Yamoto band
Song:cheza kwa madoido 

IMG_2183

Mesen na ya moto x8
Nilisema unipigie unipigie kabla ujatoka
Unipitie (unipitie) mwenzako nimechacha
Iweje unizimie (unizimie)na simu ukasepa 
Unikimbieee!
Nimekuja na miguu kufata burudani!
Oooooooh!
Na nimepata tabuuuu hadi kuingia ndani aibuuu!!!
Aiyaaaaa!!
Nyamukila dibwee x3 
Ah ah ee ae
Nyamukila dibwee x3
Ingia kati uonyeshe ndani nimeingia!
We mama zungushaa
Kakupa God kiuno x3
We dada zungusha
Kakupa God kiuno x3
Aleeeh cheza kwa madoido kwa manjonjo x2
Sema
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
Wajawazito ni ruksa ndani kujifungua ehh!
Madaktari ni wengi sana wanasakata bazugi!
Aliye kuja na guta nje aje kulitoa ehhh

Maana kupaki vibaya watu wanataka nafasiii!!!

Masai na mamaaa
(Yoyooo)
Marungu na simeee
No no nooo!
Msije gombana (ukoo)
Mkatoa watu shingo!
Ahhh! We chaiba ebu wacha magongo
Ukija zama nayo mi nitakupa kipondo.

Na we panya uwachage kuruka ukuta nikiibadilika
Nakua na hasira za pacha

Zamani babu kanifunza kucheza 
IShara ya kufurahi
Huna sababu ya kununa wakati ngoma ing’ai ing’ai
We muharabu sijui mchina pandisha mori kama masai…
Zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai.
We furahi jidai
Na cheza kwa mbwembwe
Usione hatari kufurahi 
Hata kama
Kikongwe!
Uko mali we karibia
Yamoto tuku konge
Wote shida zetu ziko nyumbani 
Hapa turuke ili song

Alleeeh! Cheza kwa madoido kwa manjonjo x2
Sema 
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeeh! Cheza kwa madoido kwa madoido na manjonjo…X3
Sema
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo…
Mensen na ya moto
Cheza kwa madoido kwa manjonjo

Aleeh! Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo…
Cheza kwa madoido kwa manjonjo
Sema
Cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo X2

Post a Comment Blogger

 
Top