Jeshi la Polisi lilifika kwenye eneo la tukio na kutoa onyo kwa Wananchi waliojikusanya kwenye eneo la tukio ambao walikua hawajui athari za moto wa gesi.
Sababu kubwa ya kuchelewa kwa gari ni umbali toka Halmashauri ya jiji la Mwanza ambao unasemekana ni umbali wa dakika 45.
Post a Comment Blogger Facebook