0
VAZI la kitenge kwa wanaume jana liliamsha mabishano kwenye semina ya wabunge ambapo baadhi ya wajumbe wametaka wanaume waruhusiwe kuvaa mashati ya kitenge na batiki. Miongoni mwa waliotaka kuvaliwe kwa shati la kitenge na batiki ni John Mnyika, Maria Sarungi na Ezekiah Wenje huku Anne Makinda, Hawa Ghasia, Joshua Nassari na George Simbachawene wakipinga vazi hilo kuvaliwa kwenye vikao vya bunge hilo la katiba.

Post a Comment Blogger

 
Top