0

HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS


 


 









































CYNTHIA MASASI (TANZANIA) 

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.

Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani

Ameshafanya videos na wasanii kama T.I,Juvenile,Jazze Pha, Rick Ross na
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana,

Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Jo

Post a Comment Blogger

 
Top