Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa kipaumbele katika ajira
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara mjini Ndugu Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mashujaa
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa kampeni za
CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa
CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa
Msanii Msami akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ,Mtwara mjini
Post a Comment Blogger Facebook