Sasa huu ndio usafiri wa kwanza ulimwenguni uliotumika kusafirishia
wagonjwa uliotumiwa na jeshi la Hispania enzi za utawala wa Malkia
Isabella wa nchi hiyo. Usafiri huu ulitumika miaka ya 1480's kama njia
mojawapo ya kuwawahisha wanajeshi waliokuwa wanatembea umbali mrefu
ikiwemo kuvuka bara moja hadi bara lingine kwa shughuri za kijeshi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook