Baadhi ya wakazi wa Tanga wakiwa wamejilaza chini baada ya mkutano wa Ukawa kuahirishwa kufuatia kuzimia kwa baadhi ya watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga siku ya Jumatatu
Umati wa watu katika viunga vya Tangamano jijini Tanga ambapo Lowassa aliahirisha kuhutubia kufuatia kuzimia kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo
Lowassa amekuwa akivutia umati wa watu kila mahali alipokwenda wakati wa kipindi hiki cha kampeni za urais, ama kweli ni zama za Mabadiliko
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.