picha: Nyota wanaolipwa mishahara mikubwa Ligi Kuu, Wazza kinara wao
Wazza kinara wao
Watu wote ni sawa lakini baadhi yao ni sawa zaidi ya wengine.
Wastani wa mshahara kwa mchezaji wa Ligi Kuu ni pauni 44,000 kwa wiki ambazo ni sawa na pauni milioni 2.29 kwa mwaka – vilabu vikubwa hulipa zaidi ya hivyo.
Na hata hivyo vilabu vikubwa, wachezaji nyota wanaouza jezi wako katika ligi ya kwao wenyewe.
Anayeingiza fedha nyingi ni Wayne Rooney ambaye mshahara wake ni pauni 260,000 kwa wiki.
Akiwa ameongeza mkataba wa miaka mitano na nusu mwezi Februari 2014, Rooney atakuwa akiingiza pauni milioni 73 kwa kipindi chote Old Trafford.
Tazama wanaomfuatia kwa mishahara Ligi Kuu Uingereza;
NYOTA WANAOONGOZA KWA MISHAHARA LIGI KUU
- Wayne Rooney (Man Utd) £260,000-a-week
Five-year deal signed in 2014
- Sergio Aguero (Man City) £240k
Five-year deal signed in 2014
Yaya Toure (Man City) £240k
Four-year deal signed in 2013
- Eden Hazard (Chelsea) £220k
Five-year deal signed in 2015
- David Silva (Man City) £200k
Five-year deal signed in 2014
- Mesut Ozil (Arsenal) £190k
Five-year deal signed in 2013
- Raheem Sterling (Man City) £180k
Five-year deal signed in 2015
- Cesc Fabregas (Chelsea) £170k
Five-year deal signed in 2014
Kevin De Bruyne (Man City) £170k
Six-year deal signed in 2015
- John Terry (Chelsea) £160k
One-year deal signed in 2015
Pauni 1 ni sawa na Tsh 3,000
Post a Comment Blogger Facebook