0

Producer Mr T Touch akiongea na kipindi cha planet amesema ” Msanii bila nidhamu ni ngumu kufanya vizuri hata kama ana kipaji ”.

Mr T
Mr T Touch amesema kuwa ” usipokuwa na nidhamu huwezi kusonga, muziki ni kama maisha na kuna wasanii wengi wakali hapa dar ila sasa wengi wao hawana nidhamu, na sio kwamba hawatoi nyimbo, nidhamu mbovu, mtu anaposema huyu dogo anazingua tayari nyota yako unaififiza bila wewe kujijua”

Post a Comment Blogger

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top