0

Treni nyingine imepata ajali mbaya na hakuna
abiria aliyepona katika ajali hiyo mbaya.

Treni hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!!

Umasikini
Msongamano wa mawazo (stress)
Magonjwa
Huzuni
Mikosi
Njaa
Kushindwa katika maisha
Kukatishwa tamaa
Kukosa ajira
Maumivu

Andika neno “R.I.P" Kama unaamini majanga hayo hayana nafasi tena kwako

Post a Comment Blogger

 
Top