0


IMG_9044


Mpaka sasa idadi kamili ya vifo vilivyotokana na ajali hii haijatangazwa ingawa baada ya ajali vifo viliyotajwa ni vya watu 6 ambapo ajali hii imehusisha magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya
Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar.
Magari hayo yamegongana na kujeruhi ikiwa pamoja na kuua ajali hii imetokea mchana eneo la Makono,baadhi ya mashahuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande usio wake.
IMG_9046
IMG_9045
IMG_9043
IMG_9042
IMG_9041
1
2
3
Source:Clouds Fm.

Post a Comment Blogger

 
Top