0
female_suicide_bombervest

Matukio ya kujitoa muhanga yameendelea kutokea sehemu mbalimbali, lakini hii ni  moja kati ya chache nilizowahi kuzisikia ambapo mwanamke anatajwa kuhusika na kitendo cha kujitoa muhanga.

Mwanamke mmoja Nigeria amejiua kwa kujilipua na bomu baada ya jaribio lake la kutaka kuwauwa wanafunzi wa Chuo cha Federal College of Education kushindikana.
Mwanafunzi wa chuo hicho aliwaambia Shirika la Habari Nigeria (NAN) kwa njia ya simu kuwa mwanamke huyo alikufa na hapo hapo na kujeruhi mwanafunzi wengine chuoni hapo.
Msemaji Mkuu wa Jshi la Polisi wa Jimbo la Niger, ASP Ibrahim Gambari amethibitisha kupokea taarifa za tukio hilo.

Post a Comment Blogger

 
Top