0

Microsoft yazindua Windows 10

6 Oktoba 2014 Imebadilishwa mwisho saa 07:05 GMT
Kampuni ya Microsoft imezindua programu mpya ya Windows 10 ambayo imeipiku Windows 9.
Kampuni hiyo pia inatarajia wateja wake watarudi kwani wengi walikuwa wakisitasita kuboresha oparesheni zao tangu Windows 8.
Windows 10 itaingiliana na vifaa vingi hususan kutokana na uwezo wake wa kubadilisha ukubwa wa programu yake.
Kwa taarifa hii na nyenginezo za teknologia tazama makala haya.

Post a Comment Blogger

 
Top