Siku sio nyingi Davido aliongea kuhusu Collabo yake na ally kiba ambayo inategemea kufanyika hivi karibuni, Ally Kiba nae kazungumzia Collabo hii ya Kimataifa na Davido.
Katika 255 ya XXL Ally Kiba amesema “Davido ameongea na Millardayo kwamba anataka kuja kufanya featuring na Alikiba, which is tayari tulikuwa tumeshaongea muda mrefu, kwahiyo watu wasubirie tu ngoma inakuja kutoka lini.rack iko vizuri, lakini idea bado haijakamilika, lakini kiukweli mi hua nafanya ngoma nikiwa studio, tutazungumzia kuhusu goodtime, party, mapenzi flani you know, yaani nyimbo flani ya kuhamaishisha watu katika raha.”
Post a Comment Blogger Facebook